1 Petro
Swahili


Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.

LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE

About The Book

Hakuna mtu anayejua maisha ya Kristo anahitaji uanzisho wowote kwa Petro - Petro aliyejaa matumaini na waraka huu inaelezea tabia yake. Neno ka huhimu ni matumaini (1 Petro 1: 3). Tukio la waraka ni kesi iliyotarajiwa; hivyo kutiwa faraja ilikuwa muhimu. Lakini Uhimizo mkuu ulitoka kubadilika kwa Petro mwenyewe. Katika Injili Petro alimwona Bwana wake akiwa amebadili sura: na pia tunamwona Petro pia akiwa amebadilika kwa neema isiyo na mipaka ya Mungu.Neno muhimu ni kuteseka ambalo limetajwa mara ishirini na moja katika kitabu hiki kifupi na katika kila sura mateso ya Kristo yanatajwa. Lakini maono ya Petro yanatuwezesha kutazama zaidi ya majaribu kwa utukufu utakao funuliwa hatimaye (1 Petro 1: 7).
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Fast Delivery
Fast Delivery
Sustainably Printed
Sustainably Printed
downArrow

Details