Diwani hii licha ya kuwa kwake na tungo chache 35 kwa ujumla wake ni kasha lililohifadhi machozi majonzi na mapenzi ya umma wa Zanzibar na nje kwa mtu ambaye alisimama kama alama na ishara ya utambulisho wao na wa nchi yao. Kadiri walivyoweza washairi hawa wamekuwa wawakilishi wa wenzao maelfu kwa maelfu ambao hawakuweza kuziweka hisia zao maandikoni kumzika kipenzi chao. Waswahili husema: Nizike ningali hai kwa maana ya mzee kutaka kusitiriwa na watoto wake ilhali bado ni mzima na sio kumngoja hadi afariki dunia.
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.