<p>Gundueni Amri Kumi za Mungu zilizofafanuliwa katika usemi wa siku hizi na pia maelezo kuhusu Mafundisho ya Yesu Mlimani iliyofunuliwa na Kristo mwenyewe kupitia Gabriele</p><p>nabii na mjumbe wa Ufalme wa milele.</p><p>Ni maadili ya ulimwenguni pote isiyotegemea dini na inayomlenga kila mmoja aidhuru utamaduni wake.</p><p>Jaribu mwenyewe ikiwa inawezekana kubadili maisha yako.</p>