Barakoa!
by
Swahili

About The Book

<p>Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.</p><p>Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE