Bella na Kloe Kujiangalia Kwenye Kioo

About The Book

Bella na Kloe ni mapacha wanaopendana sana na hufanyakila kitu pamoja. Lakini siku moja janga linatokeapale ambapo Bella anachomeka na sufuria ya supuinayochemka. Kwa sababu ya majeraha makubwa ya moto katikamaeneo kadhaa ya mwili wake analazimika kulazwa hospitalinikwa miezi kadhaa ili kupata matibabu na baadaye anafanyiweupasuaji wa kupunguza makovu.Hadithi hii ya picha kwa watoto ni simulizi kuhusu mshtuko nakupona. Inasimulia ajali hiyo athari zake kwa jinsi Bella anavyojionauhusiano wake na dada yake pamoja na familia nzima na umuhimuwa familia msaada na upendo wakati wa kupona kwake.
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE