DOA

About The Book

<p>Profesa Kithaka wa Mberia anafundisha na kufanya utafiti katika Idara ya Isimu na Lugha Chuo Kikuu cha Nairobi Nairobi Kenya. Mbali na kufundisha na kufanya utafiti anajishughulisha na uandishi wa mashairi na tamthilia. Tamthilia yake maarufu iitwayo Kifo Kisimani ilikuwa kitabu cha lazima katika mtihani wa kidato cha nne nchini Kenya kuanzia 2006 hadi 2012. Tamthilia yake nyingine iitwayo Natala ilikuwa kitabu cha kutahiniwa katika vyuo vya walimu pia nchini Kenya kuanzia 2005 hadi 2016. Mwandishi amewahi kukariri mashairi yake katika maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na Kenya Tanzania Iran Marekani US Virgin Islands United Arab Emirates Upolanzi Ujerumani na Italia.</p><p>Mbali na Doa Kifo Kisimani na Natala Profesa Kithaka wa Mberia amechapisha vitabu vingine ambavyo ni Mchezo wa Karata (mashairi) Bara Jingine (mashairi) Redio na Mwezi (mashairi) Msimu wa Tisa (mashairi) Rangi ya Anga (mashairi) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (tamthilia). Diwani nyingine zake mbili za mashairi Mvumo wa Helikopta na Bustani ya Miungu (huenda vichwa hivi vikabadilkika) zinatarajiwa kuchapishwa mwaka</p><p>huu na mwaka ujao mtawalia.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE