Faidika na Methali Nahau na Vitendawili

About The Book

<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>FAIDIKA NA METHALI NAHAU NA VITENDAWILI ni kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya wanafunzi wa Kenya. Hata hivyo kinaweza kutumika katika nchi yoyote ya Jumuia ya Afrika Mashariki na penginepo Kiswahili kinapozungumzwa. Katika mkusanyo huu wanafunzi wa Shule za Msingi pamoja na walimu wao wataweza kufaidika kwa kuwa na kitabu kimoja chenye fani hizi - methali nahau na vitendawili - zote katika fumbato moja. Msomaji anapokimaliza vyema kitabu hiki atakuwa amejiongezea msamiati na idadi kubwa ya methali nahau na vitendawili. Aidha atakuwa mweledi wa lugha ya kisanii (fasihi) kwani ataweza kubaini na kueleza ujumbe uliyomo kwenye methali nahau na vitendawili na pia kuzitumia fani hizo katika miktadha mbalimbali</span></p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE