<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Kafiya ni panya mrembo sana na mwenye maringo mengi. Anawavutia jogoo chura mbwa paka na panya jirani. Wanyama hawa wanang'ang'ania kumuoa lakini kwa sababu ya maringo yake Kafiya anawakataa baadhi yao ila tu mmoja. Je ni nani atakayemuoa Kafiya? Je ni nani atakayeunganisha ndoa yao? Soma hadithi hii ya Harusi ya Panya unufaike.</span></p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.