<p>Adongo and Apiyo live in the city but on holidays they get to visit their grandmother who lives in a fishing village near a large lake.</p><p>Adongo na Apiyo wanaishi mjini lakini wakati wa likizo wanamtembelea nyanya yao anayeishi katika kijiji cha wavuvi karibu na ziwa kubwa.</p><p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Your purchase of this book supports Library For All in its mission to make knowledge available to all equally.</span></p>