If My People - Swahili Edition

About The Book

Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda. Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kwa msamaha na kufanya upya baraka kwa watu wake. Katika jibu la maombi ya Sulemani Mungu alishirikisha mahitaji yake kwa huo msamaha na uponyaji uchukue nafasi. Kusudi la Mungu halikubadilika. Ikiwa unataka kufahamu nini Mungu anahitaji kwa burudisho na kufanywa upya katika maisha yako ya kiroho hivi vifungu viwili ni ufunguo.
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE