<p>Two best friends are very upset when a special necklace is broken at a birthday party. An apology and some forgiveness makes everything okay again.&nbsp;</p><p>Marafiki wawili wapendwa wanakasirika sana mkufu wa kipekee unapovunjika katika karamu ya siku ya kuzaliwa. Kuomba msamaha na kusamehe kunafanya kila kitu kuwa sawa tena.</p><p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Your purchase of this book supports Library For All in its mission to make knowledge available to all equally.</span></p>