<p>Anansi doesn't want to ever share a meal with Turtle so he tries to find a way to make sure he eats but Turtle doesn't!</p><p>Licha ya Sungura kushiriki ardhi yake Anansi anaichukua kutoka kwake. Huenda sokoni kuuza matunda na mboga zinazokuzwa kwenye shamba lililochukuliwa kutoka kwa Sungura ambapo Anansi anapata pesa nyingi. Huipeleka nyumbani kwenye kikapu kilichofichwa chini ya mahindi lakini mvua inaanza kunyesha! Huweka kikapu chake kandokando ya barabara ambapo kinapatikana na Tai. Tai anadai kikapu ni chake kwa sababu alikipata na Chifu na Wazee wanakubaliana na Tai. Sungura anacheka kupoteza kwa Anansi. Anansi angeweza kujifunza nini kutokana na hili?</p><p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Your purchase of this book supports Library For All in its mission to make knowledge available to all equally.&nbsp;</span></p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.