<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Nicky Kachuma kijana wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Toredi amefukuzwa shuleni kwa kukosa karo. Akiwa njiani kuelekea nyumbani anashuhudia gari la benki likivamiwa na wezi na pesa zote kuibwa. Anawajulisha polisi wanaochangamkia jambo hilo. Je Kachuma atauawa au ataokoa pesa kupotea? Soma ili ufurahie uhondo huo.</span></p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.