*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
About The Book
Description
Author
<p>Bunduki yake Hassan Ngunda mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo mwanawe Fadhili haonekani. Ni kipi kimetokea? Msako mkali unaanzishwa na punde si punde unawaelekeza polisi kwenye 'mwizi' wa bunduki pamoja na genge hatari la wawindaji haramu.</p>