Karamu Mbinguni
English

About The Book

<p>Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msichana aliyezaliwa katika mali na anasa. Lakini pendo halitambui tabaka na Alice anampenda Chongameno. Juhudi za kulitoroka pendo hili zinaishia katika balaa kwa wote wawili. Hii ni hadithi iliyofumwa kitaalamu na mmoja wa waandishi walioheshimika sana katika Afrika ya Mashariki.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE