<p>Hadithi ya kwanza Kishu kazi inamhusu mkulima mwenye bidii ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni na alipoulizwa siku zote alijibu Kishu kazi kuna siku kindapata kazi. Hata ikawa amebandikwa jina 'Kishu Kazi'. Lakini siku alipovamiwa na wezi ndipo walishuhudia kikifanya kazi kishu kazi.</p><p>Hadithi ya Sungura mjanja kama jina linavyodokezea inahusu sungura na jinsi anavyojishinda mwenyewe mwishowe kwa werevu wake wa kupindukia kiasi.</p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.