MAPINDUKO YA MISINGI
Swahili

About The Book

Kanisa la sasa : Kwa nini haya mapinduko makubwa ? Kisha kumpokea Yesu Kristu wa Nazarethi katika maisha kama Bwana na Mwokozi mtu anakuwa kiumbe kipia. Na maoni makubwa ya vitu vya dunia hiyi yanabadirika kwa sababu shabaha si ya kupata ulimwengu kwa kujipigapiga juu ya kukusanya kwa kila hali utajiri wa vitu hao vifaha lakini shabaha yake ni yakutafuta sasa jinsi atapata mwisho wa maisha yake ufalme wa Mungu. Shetani naujanja wake wa mbinu mbalimbali aliweza kujiingiza katika taifa la Mungu kusudi apindue misingi ya neno la Mungu ili watu wengi kisha kuanguka kwao wasishugulikie tena uzima wa milele. Ijapo Yesu Kristo alihaidi kila mjo wao kwenda kukamata na fasi pale mbinguni. ... Yoana 14 : 3 na tena ... Yeremia 5 : 30 - 31 .
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE