Maswali   na  Majibu
Swahili

About The Book

Wakati wa miaka hiyo ishirini alikuwa akiulizwa maswali mengi kutoka katika Biblia na maswali mengine yalitokana na imani zao kulingana na mafundisho baadhi ya maswali yamerudiwa rudiwa kuulizwa. Inafikiriwa kuwa majibu ya maswali haya yatakuwa msaada wa maana sana kwa wengine kwa hiyo kitabu hiki kimeandikiwa ikiwa ni mkusanyiko wa majibu ya maswali ambayo yaliulizwa mara nyingi. Hii siyo njia ya kujaribu kuyajibu maswli yote ya viongozi wa dini kwa hiyo; soma kitabu kiitwacho Maandiko Magumu kilichoandikwa na Ron Abel. Hiki kitabu kimekusudiwa ili kujibu maswali ya watu wa kawaida.
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE