<p><em style=color: rgba(0 0 0 1)>Mfalme na Majitu</em><span style=color: rgba(0 0 0 1)> ni hadithi inayomhusu mfalme Jaba Nene kiongozi wa nchi ya Undurubo ambaye kwa ujinga na ansa yake alikufa kifo cha kutisha.</span></p>