*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
₹1256
₹1328
5% OFF
Paperback
All inclusive*
Qty:
1
About The Book
Description
Author
Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda na hafahamu mahali alipo mama yake.Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya anakutana na Shema mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake lakini mambo yanakuwa magumu -- Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.Mioyo Miongoni Mwetu ni simulizi ya mapenzi chuki na namna vinavyoingiliana. Karabo na Shema wote wakiwa yatima wanaoomboleza wanakulia kwenye jamii iliyochanwachanwa -- ikitekwa katikati ya ulimwengu wa walio hai na wafu na migogoro baina ya Wahutu na Watusi.