<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Dora yumo nyumbani ambamo amelazimika kubaki ili kuwachunga ng'ombe wao kutokana na ukosefu wa mfanyakazi mzuri. Halafu siku moja anamuona mtu anayetembea kwenye mvua bila kuguswa na tone la mvua. Anamshawishi mamaye wamwalike mtu huyu nyumbani. Mgeni anakubali kuandikwa kazi na Dora anarudi shuleni. Mtu huyu Okungu anaishia kuwa na vipawa vya ajabu ambavyo vinaisaidia jamii ya akina Dora kwa njia kubwa. Hii ni mojawapo ya hadithi tatu za kusisua zilizomo katika kitabu hiki. Juu ya kusisimua zina mafunzo kemkem kwa wasomaji.</span></p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.