<p>Jeneza lenye mwili wa Mulwa limeletwa mbele ya hadhira na kuwekwa jukwaani karibu na Pasta John. Ni kipi kitatokea? Soma mwenyewe upate uhondo. <span style=color: rgba(0 0 0 1)>Edison Wanga ni mwalimu na mwandishi mzoefu. Amechapisha kazi kadhaa katika mashirika mbalimbali ya uchapishaji. Pia ameandika </span><em style=color: rgba(0 0 0 1)>Mbio za Sakafuni </em><span style=color: rgba(0 0 0 1)>ambacho kitachapishwa hivi karibuni na Phoenix Publishers Limited.</span></p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.