MUNGU anaponya
Swahili

About The Book

<p>Ni nani asiye na haja ya uponyaji ?</p><p>Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo nguvu ya Mungu. Gabriele anatoa maelezo kitabuni humu kwamba afya na uponyaji vinategemea mpango wa msingi wa utu wetu wa ndani na kwamba hisia na fikra zetu vina ushawishi mkubwa juu ya hali yetu njema ambayo tunaweza kuamsha ndani mwetu kwa kumgeukia Mungu chemchem ya nguvu ndani mwetu.</p><p>Kwa kutumia maneno yenye kugusa moyo na inayojaa ujuzi kitabu hiki kinatuelekeza jinsi ya kuamsha nguvu za kimungu ndani mwetu ili kutia nguvu nafsi na mwili wetu. Hayo haimzuii kamwe mtu kumwendea daktari wake.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE