Ninang'atuka 2014

About The Book

Ni Kitabu Chanye Hazina Ya Mashairi Yaliyotungwa Na Mtunzialiyebobea Katika Fani Ya Utunzi Wa Nyimbo Tenzi Na Mashairi.Mtunzi Wa Kitabu Ametunga Tungo Za Kitabu Hiki Akifuata Na Kulindamaadili Ya Lugha Ya Kiswahili Kwa Malengo Ya Kuelimisha Kuburudisha Nakufundisha Jamii Zote. Usomapo Kitabu Hiki Utapata Uhondo Kamili Walugha Ya Kiswahili Kwani Mtunzi Wa Kitabu Ametumia Maneno Ya Kiswahilisanifu Kiswahili Cha Mitaani Na Maneno Aliyoyatohoa Kutoka Lugha Mbalimbali Ambayo Hutumiwa Kwa Wingi Mitaani.Katika Kurasa Za Mwisho Za Kitabu Hiki Mtunzi Ameweka Kamusi Yakiswahili Cha Mitaani Ili Wale Wasioelewa Kiswahili Cha Mitaani Wawezekupata Burudani Kamili Wanaposoma Ama Wanapoimba Mashairi Yake.
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE