Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi Teknolojia uhandisi na Hisabati.Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano wanaanga madaktari wanasayansi na wahandisi na kadhalika) kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM!English Description: What Can I Be? STEM Careers from A to Z is an inspiring and easy-to-read alphabet picture book that teaches our next generation about Science Technology Engineering and Math (STEM) careers. This book provides colorful illustrations of six diverse children representing various STEM careers (i.e. astronauts doctors scientists and engineers etc) helping children (5 to 8 years old) see themselves in one of the STEM careers and motivates them to shape their future through STEM!
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.