Noah Henry
About The Book
<span style=color: rgba(0 0 0 1); background-color: inherit>Kama siku yoyote nyingine Noah Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini wazazi wake wanamwambia kwamba shule yake imefungwa. Zaidi ya hilo bustani ya wanyama pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki zake wanaoishi mle. Mambo hayabadiliki hata wakati Noah na kaka yake mdogo wananawisha mikono yao kama walivyoambiwa na walimu wao. Lakini wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini anagundua ya kwamba rafiki zake walikuwa wamechora pinde za mvua na kuziweka kwenye madirisha yao na anatambua ya kwamba rafiki zake pia hawana hakika kuhusu siku zijazo na ya kwamba siku moja yeye na rafiki zake watacheza pamoja tena.<span style=color: rgba(0 0 0 1); background-color: rgba(255 255 255 1)> 
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow
Details
LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE