Not What I Expected Swahili Edition

About The Book

Wakati maisha yasipobadilika kama uylivyotarajia mafunzo Kotoka kitabu cha Kutoka 16:3

Kama tukiwa wakweli kabisa kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu uhalisia umebadili kila mpango.

Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kutoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu y kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarajio ya Waisraeli na Imani juu ya Mungu.

Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details

LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE