Nyayo Za Obama


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE

Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Fast Delivery
Fast Delivery
Sustainably Printed
Sustainably Printed
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.

About The Book

Katika Nyayo Za Obama Msomaji Atasoma Juu Ya Mambo Makuu Matatu: Maisha Ya Rais Barack Husein Obama Kuanzia Kwa Wazazi Wake Na Jinsi Walivyokutana Hitilafu Zilizowatenganisha Utoto Wake Na Hadi Hapo Aliko Kwenye Kilele Cha Siasa ; Nchi Ya Marekani Iliyompa Fursa Hasa Kuhusu Uanuwai Wa Watu Wake Siasa Yake Na Sifa Zake Mashuhuri Za Masoko Makubwa Ya Kimataifa Na Hisani Yake Kwa Nchi Zingine; Na Msomaji Atamaizi Nafasi Pekee Lugha Ya Kiswahili Iliyo Nayo Katika Kufungamanisha Jumuia Za Mataifa Ya Afrika Ambayo Mengi Bado Yanatumia Lugha Geni Kwenye Fasihi Rasmi Za Kisiasa Na Kisheria Na Pia Ni Lugha Pekee Ambayo Vyanzo Vyake Ni Anuwai Ya Kutosha Kuzungumzwa Kote Barani. Mwishowe Kuna Orodha Ya Msamiati Mpya Uliotumika Katika Fasihi Kwa Minajili Ya Kuneemesha Welekevu Wa Mada Za Karne Ya Mitandao Na Utandawazi.
downArrow

Details