<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanya harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi kwa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. Atafanya nini?</span></p>