Pesa Zako Zinanuka
Swahili


Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.

LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE

About The Book

<p>Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake ‘No Money Smells’ kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai “zipo na zanuka”. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: “Umemuua mwanao ... Lazima umle ... ” Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Fast Delivery
Fast Delivery
Sustainably Printed
Sustainably Printed
downArrow

Details