Roho Nafsi na Mwili
Swahili

About The Book

<p>Katika kitabu chake <em>The Art of War</em> Sun Tzu anasema kwamba ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako hutashindwa vita vyovyote. Mahubiri yanayohusuRoho Nafsi na Mwili yanatuangazia kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'ubinafsi' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu kwelikweli tutaweza pia kumwelewa mtu wa aina yoyote . Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza ambazo zimekuwa zikituathiri ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi. </p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE