*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
About The Book
Description
Author
Huu ni mkusanyiko wa hadithi za paukwa-pakawa zinazosimuliwa katika jamii za Waswahili wa visiwa vya Zanzibar kama ambavyo mwandishi anazikumbuka. Huenda usimulizi wa upande mmoja wa jamii ya Waswahili ukatafautiana na wa jamii nyengine lakini kwa kuwa wenyewe husema Hadithi ina ncha saba basi hii ni moja kati ya ncha hizo.