Sinaye Baba

About The Book

<p>Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima.</p><p>Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii burudani siasa na uchumi.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE