<p><span style=color: rgba(0 0 0 1)>Bwana Leo Odera Omolo ambaye alikusanya hadithi hizi ni mmoja kati ya waliojitolea kurekebisha kazi ya utumiaji wa lugha ya Kiswahili; nalo hili ni toleo la aina ya kusisimua TAJIRI MJANJA ikiwa ni baadhi ya mfululizo wa HADITHI ZA KIKWETU.</span></p>