TEACH YOURSELF KISWAHILI

About The Book

Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga watu wa ndani ya nchi na wageni wanaokijua Kiingereza vizuri lakini wana hamu/wanahitaji kujua Kiswahili. Lugha hii kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 140 duniani. Lakini hata watu wanaokijua Kiswahili wanakihitaji kitabu hiki ili na wao waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili sanifu. Kumbuka kwamba si kila mtu anayezungumza anayeongea na kuandika Kiswahili anajua lugha hii kwa ufasaha. Kitabu hiki kitawasaidia watu kuongea na kuandika Kiswahili fasaha. Aidha kitabu hiki kitawaongezea msamiati wa Kingereza watu wanaojua Kiswahili lakini hawajui maneno mengi ya Kingereza. Makundi ya watu yaliyolengwa Walengwa wa kitabu hiki ni makundi ya watu yafuatayo: Watalii wawekazeji wa kigeni na wafanyabiashara wanaotoka katika nchi zisizozungumza Kiswahili .Wafanyakazi katika Balozi zilizo katika nchi zinazozungumza Kiswahili .Walimu wa Shule za Awali na Msingi wanafunzi wa Shule za Sekondari na Wanavyuo.
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE