*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
About The Book
Description
Author
<p>Neno 'Sheria' linatokana na neno la Kiebrania 'Torah' ambalo maana yake ni 'maagizo' na 'somo'. Torah kwa kawaida linarejelea Pentatuki (vitabu vitano vya Biblia) vinavyojumuisha <span style=color: rgba(0 0 0 1)>Amri Kumi</span>. Lakini Sheria pia linerejelea vitabu 66 vya Biblia kwa jumla au yale maagizo ya Mungu anapotuambia cha kufanya cha kutofanya cha kuweka au kutupilia mbali mambo fulani. Huenda watu wakafikiria kwamba Sheria na upendo havihusiani lakini haviwezi kutenganishwa. Upendo ni wa Mungu na pasipo kumpenda Mungu hatuwezi kuifuata Sheria kikamilifu. Sheria inaweza kutimizwa tu tunapoifuata kwa upendo.&nbsp;</p>