Vutu n'kuvute

About The Book

<p>Shafi Adam Shafi aliyeadika Kasri ya Mwinyi Fuad  na Kuli anainua kiwango na hadhi ya fasihi ya Kiswahili katika riwaya hii Vute n’ kuvute. Kwanza kuna ndoa ya Yasmin motto wa kihindi kwa Bwana Raza mzee sawa na babu yake. Yasmin anafukuzwa na wazee wake kwa kumwacha Raza. Katika upweke wake anasitiriwa na Mwajuma shoga yake anayeishi ili kustarehe katika dansa taarab na pegi za vikali. Yasmin anaingizwa uswahilni. Kuna wive unaopelekea kifo cha Shibab mume wa pili wa Yasmin. Kuna Denge Yasmin anampenda lakini hapedeki. Kwa Denge ni mapambano na ukoloni tu na makachero wake. Hii ni Vutu n’ kuvute ambayo sherti yeye na wenzake waishinde.</p><p>This award-winning novel is set in Zanzibar in the years before the revolution. It brings together characters from the Indian and Swahili communities portraying all the tensions between the communities complications of inter racial relationships the struggle of workers against colonialism and influence of students returned home from Soviet Union with revolutionary theories. The brilliantly sketched and unforgettable characters in the novel have put Adam Shafi at the forefront of Swahili novelists.</p>
Piracy-free
Piracy-free
Assured Quality
Assured Quality
Secure Transactions
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.
Review final details at checkout.
downArrow

Details


LOOKING TO PLACE A BULK ORDER?CLICK HERE