<p>Mchezo wa kupata shabaha umepata umaarufu sana katika kijiji cha Chaka. Wakati huo huo uwanja wa Shule ya Msingi ya Chaka umejaa mifugo na wachungaji wanaokuja&nbsp;&nbsp;uwalisha mifugo na pia kucheza mchezo huo. Je mchezo huo utaleta mashaka? Je ni kipi kinachowasukuma vijana kukiuka sheria za msitu? Na je watapata adhabu gani kwa kuvunja sheria za msitu huo? Soma hadithi hii upate uhondo.</p>
Piracy-free
Assured Quality
Secure Transactions
Delivery Options
Please enter pincode to check delivery time.
*COD & Shipping Charges may apply on certain items.